APPLY

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO MWAKA WA MASOMO 2020/2021

MKUU WA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KAHAMA ANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KATIKA FANI ZIFUATAZO:

1. KOZI YA UTABIBU (CLINICAL MEDICINE) NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA

2. KOZI YA FAMASI (WATAALAMU WA MADAWA) NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA.

Sifa za kujiunga: Mwanafunzi awe na ufaulu wa alama D katika masomo manne ya O’Level, ikiwemo angalau masomo mawili ya sayansi na kuendelea. Chuo kimesajiliwa na NACTE kwa namba REG/HAS/171 na kimepata ithibati ya ubora wa mafunzo.

Msimamo wa chuo ni kuona wanafunzi wote wanaohitimu wanawezeshwa kujitambua na kuwa na umahiri wa hali ya juu.

Malipo ya maombi ya kozi (Application Fee) ni Tsh 30,000/= ambayo unatakiwa kulipa kupitia moja ya Akaunti hizi na kisha kuambatisha risiti ya benki wakati unajaza fomu hii

Account Name: KAHAMA COLLEGE OF HEALTH SCIENCES
  1. BANK: CRDB Account No 0150222187900
  2. BANK: NMB Account No: 30610017310
Usifanye malipo kwa njia yoyote nyingine tofauti na Akaunti za benki zilizoanishwa hapa

Chuo kinapatikana wilayani kahama mkoani shinyanga. Tupo mwendakulima Kahama mjini -mkabala ya shule ya Sekondari ya wasichana ya Queen of Family.

Kwa mawasilianao, piga simu Idara ya usajili kwa namba zifuatazo: +255766640531 +255683170921

Apply Online

Fields with (*) are compulsory.